Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Yatangaza Nafasi 2 za Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi
Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi imetangaza nafasi mbili (2) za ajira kwa kada ya Mwandishi Mwendesha Ofisi, kufuatia kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa Mei 4, 2026, waombaji watakaofaulu watahusika na majukumu mbalimbali ya ofisi ikiwemo kuchapa nyaraka, kupokea wageni, kutunza kumbukumbu […]