247DigitalTvTz

News & Updates

Breaking stories from 24/7 Digital Radio TZ & DigitalTV TZ. Stay informed with the latest from Tanzania and beyond.

Ajira

Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Yatangaza Nafasi 2 za Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi

Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi imetangaza nafasi mbili (2) za ajira kwa kada ya Mwandishi Mwendesha Ofisi, kufuatia kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa Mei 4, 2026, waombaji watakaofaulu watahusika na majukumu mbalimbali ya ofisi ikiwemo kuchapa nyaraka, kupokea wageni, kutunza kumbukumbu […]

Read More →
habari

Ndege Mbili za Kivita za Marekani Zagongana Angani Wakati wa Maonesho

Ndege mbili za kivita za Jeshi la Wanamaji la Marekani aina ya Boeing EA-18G Growler zimegongana angani wakati wa maonesho ya anga yaliyofanyika karibu na kituo cha kijeshi cha Mountain Home Air Force Base, huku marubani wote waliokuwa ndani ya ndege hizo wakinusurika baada ya kujirusha nje kwa parachuti kabla ya ndege kuanguka. Ajali hiyo […]

Read More →
habari

Wananchi Kenya Waandamana Kupinga Kupanda kwa bei ya Mafuta

Nairobi, Kenya — Wasafiri nchini Kenya wameanza kuhisi makali ya ongezeko jipya la bei ya mafuta baada ya nauli za usafiri wa umma kupanda kwa asilimia 30 kufuatia hatua ya mamlaka ya nishati kuongeza bei za mafuta kwa mwezi mmoja ujao. Mamlaka ya Kusimamia Nishati na Petroli nchini Kenya, Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA), […]

Read More →
Michezo

Simba Wapelekwa Arusha, Yanga Kutinga Mwanza Nusu Fainali ya Kombe la FA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi viwanja vitakavyotumika kwa michezo ya Nusu Fainali ya michuano ya CRDB Federation Cup msimu wa 2025/26. Mchezo wa kwanza utawakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Coastal Union FC ambapo utapigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Juni 20, 2026. Kwa upande mwingine, mabingwa watetezi […]

Read More →
Michezo

Wayne Rooney Amuita Salah ‘Mbinafsi’ Baada ya Kumkosoa Slot

  Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshukia vikali mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, akimuita ‘mbinafsi’ na kueleza kuwa anapaswa kuachwa nje ya kikosi kwenye mechi ya mwisho ya msimu dhidi ya Brentford itakayochezwa Anfield. Kauli ya Rooney imekuja baada ya Salah kutoa maoni kuwa Liverpool inapaswa kurejea kuwa timu ya mashambulizi ya […]

Read More →
Michezo

Pitch Ya Uwanja wa Benjamin Mkapa Yafanyiwa Marekebisho – Picha

Uwanja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa uko kwenye hatua za maboresho ya eneo la kuchezea (pitch), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuuboresha ili uwe wa kisasa na kukidhi viwango vya kimataifa. Maboresho hayo yanahusisha uwekaji wa nyasi bora zaidi, uboreshaji wa mifumo ya umwagiliaji na mifereji ya maji, pamoja na kusawazisha uso […]

Read More →
Health

Fahamu Maajabu ya Kitunguu Maji: Lishe Asili Yenye Faida Kubwa kwa Afya

Kitunguu maji, kinachojulikana pia kama green garlic, ni mojawapo ya mimea yenye nguvu ya lishe na faida nyingi za kiafya. Mbali na kuongeza ladha kwenye chakula, kitunguu maji kina mali zinazosaidia mwili kwa njia zisizo za kawaida. 1. Huongeza Kinga ya Mwili Kitunguu maji kina vitamin C na antioxidants, ambavyo husaidia kuimarisha mfumo wa kinga. […]

Read More →
Michezo

Man City Yapanda Kileleni EPL Vita ya Ubingwa Yachukua Hatua Mpya

Manchester City imekwea rasmi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza kufuatia ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Burnley katika dimba la Turf Moor. Bao pekee la mchezo lilifungwa mapema dakika ya tano na mshambuliaji nyota Erling Haaland, akiendeleza ubora wake msimu huu na kuipa City alama tatu muhimu ugenini. Ushindi huo unaifanya […]

Read More →
Health

Fahamu Faida 7 Muhimu za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Juisi ya karoti ni kinywaji chenye virutubisho vingi muhimu kama vitamini, antioxidants na nyuzinyuzi, ambavyo huchangia kuboresha afya kwa ujumla. Kwa mujibu wa Healthline, juisi ya karoti ina kalori chache na wanga mdogo lakini ina virutubisho muhimu kwa mwili. Kikombe kimoja (takriban gramu 236) cha juisi ya karoti kina wastani wa: Kalori 94 Protini gramu […]

Read More →
24/7 Digital Radio TZ
247 Digital Radio TZ Live Stream
ON AIR
📱

Get the App

Stream 247 Digital Radio TZ & watch DigitalTV TZ on the go!

Download onApp Store
Get it onPlay Store