Mahakama ya Afrika Kusini Yaamuru Mwili wa Edgar Lungu Urejeshwe
Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imetoa uamuzi wa dharura ikiitaka Serikali ya Zambia kurejesha mwili wa Rais wa zamani Edgar Lungu, hatua inayokuja saa chache baada ya serikali kudai kuwa tayari imeuchukua rasmi mwili huo. Kwa mujibu wa uamuzi huo, mwili wa kiongozi huyo wa zamani unapaswa kurejeshwa hadi kesi hiyo itakaposikilizwa tena mahakamani ifikapo […]