24/7 Digital

Category: Michezo

Michezo

Simba Wapelekwa Arusha, Yanga Kutinga Mwanza Nusu Fainali ya Kombe la FA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi viwanja vitakavyotumika kwa michezo ya Nusu Fainali ya michuano ya CRDB Federation Cup msimu wa 2025/26. Mchezo wa kwanza utawakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Coastal Union FC ambapo utapigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Juni 20, 2026. Kwa upande mwingine, mabingwa watetezi […]

Read More →
Michezo

Wayne Rooney Amuita Salah ‘Mbinafsi’ Baada ya Kumkosoa Slot

  Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshukia vikali mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, akimuita ‘mbinafsi’ na kueleza kuwa anapaswa kuachwa nje ya kikosi kwenye mechi ya mwisho ya msimu dhidi ya Brentford itakayochezwa Anfield. Kauli ya Rooney imekuja baada ya Salah kutoa maoni kuwa Liverpool inapaswa kurejea kuwa timu ya mashambulizi ya […]

Read More →
Michezo

Pitch Ya Uwanja wa Benjamin Mkapa Yafanyiwa Marekebisho – Picha

Uwanja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa uko kwenye hatua za maboresho ya eneo la kuchezea (pitch), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuuboresha ili uwe wa kisasa na kukidhi viwango vya kimataifa. Maboresho hayo yanahusisha uwekaji wa nyasi bora zaidi, uboreshaji wa mifumo ya umwagiliaji na mifereji ya maji, pamoja na kusawazisha uso […]

Read More →
Michezo

Man City Yapanda Kileleni EPL Vita ya Ubingwa Yachukua Hatua Mpya

Manchester City imekwea rasmi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza kufuatia ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Burnley katika dimba la Turf Moor. Bao pekee la mchezo lilifungwa mapema dakika ya tano na mshambuliaji nyota Erling Haaland, akiendeleza ubora wake msimu huu na kuipa City alama tatu muhimu ugenini. Ushindi huo unaifanya […]

Read More →
24/7 Digital Radio TZ
247 Digital Radio TZ Live Stream
ON AIR
📱

Get the App

Stream 247 Digital Radio TZ & watch DigitalTV TZ on the go!

Download onApp Store
Get it onPlay Store