Ndege Mbili za Kivita za Marekani Zagongana Angani Wakati wa Maonesho
Ndege mbili za kivita za Jeshi la Wanamaji la Marekani aina ya Boeing EA-18G Growler zimegongana angani wakati wa maonesho ya anga yaliyofanyika karibu na kituo cha kijeshi cha Mountain Home Air Force Base, huku marubani wote waliokuwa ndani ya ndege hizo wakinusurika baada ya kujirusha nje kwa parachuti kabla ya ndege kuanguka. Ajali hiyo […]